108 : 1
إِنَّآ أَعْطَيْنَـٰكَ ٱلْكَوْثَرَ
Hakika tumekupa kheri nyingi. [1]
108 : 2
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنْحَرْ
Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. [2]
108 : 3
إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ
Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu. [3]