106 : 1
لِإِيلَـٰفِ قُرَيْشٍ
Kwa walivyo zoea Maqureshi, [1]
106 : 2
إِۦلَـٰفِهِمْ رِحْلَةَ ٱلشِّتَآءِ وَٱلصَّيْفِ
Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. [2]
106 : 3
فَلْيَعْبُدُوا۟ رَبَّ هَـٰذَا ٱلْبَيْتِ
Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, [3]
106 : 4
ٱلَّذِىٓ أَطْعَمَهُم مِّن جُوعٍ وَءَامَنَهُم مِّنْ خَوْفٍۭ
Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. [4]